Mwenendo wa Miezi 6
Matumizi kwa Kategoria
Ufuatiliaji wa Madeni
Malipo Yanayokuja
Miamala ya Hivi Karibuni
Madeni Ninayodaiwa
Madeni Ninayodai
Matumizi Yasiyo ya Lazima
Mikataba
🔒 Mikataba huhifadhiwa kwenye seva (Supabase) ili iwe kumbukumbu ya kudumu yenye tarehe — kila mtumiaji anaona yake tu, lakini haijasimbwa kama madeni yako mengine. Faili zinahifadhiwa kwenye hifadhi binafsi.
Ripoti
Mipangilio
Picha ya Wasifu
Badilisha PIN
Taarifa za Biashara / Invoice
Hizi zitaonekana kiotomatiki kwenye kila invoice unayotengeneza
Usalama wa Data na Backup
Kifaa hiki kinajitengenezea nakala iliyosimbwa kila siku. Pakua pia faili la backup (lililosimbwa — linafunguliwa kwa password au Recovery Code) uliweke nje ya simu. Kurejesha kunarudisha rekodi zilizokosekana tu; hakufuti chochote.
Backup ya zamani ya maandishi
Bandika maandishi ya backup ya zamani (kutoka "Onyesha/Nakili Backup") — rekodi zilizokosekana zitaongezwa bila kufuta chochote.
Akaunti na Sync
Ingia kwa akaunti moja kwenye simu, PC au kifaa chochote — data zako zinafuata akaunti yako. Zinabaki zimesimbwa; hata Supabase haiwezi kuzisoma.
Kalenda na Arifa
Weka tarehe za malipo kwenye kalenda ya simu yako. Simu itakukumbusha siku 1 kabla na siku yenyewe saa 2:00 asubuhi — hata app ikiwa imefungwa.
Arifa za ndani ya app (app ikiwa wazi au nyuma):
Usalama
Recovery Code ndiyo njia pekee ya kufungua data yako ukisahau password. Kama huikumbuki au uliipoteza, tengeneza mpya sasa na uiandike mahali salama.